.

Welcome to Our Blog

LightBlog

Friday, 15 September 2017

NDUGAI : MBUNGE MWENYE TAARIFA KUHUSU TUKIO LA LISSU AZIPELEKE KWENYE KAMATI YA BUNGE ULINZI NA USALAMA

Spika wa Bunge hilo Mhe.Job Ndugai ametoa witu huo kwenye kipindi cha maswali na majibu na kuwataka wabunge kutosubiri waitwe  ili waweze kutoa taarifa kuhusu tukio huilo wakati zipo kamati  bungeni kwa ajili ya kushughulikia changamoto hizo