BBC imefanya mazungua na waislamu wa Rohingya waliojeruhiwa baada ya kukanyaga milipuko walipokuwa wakiikimbia Myanmar.
Mtoto
wa kiume wa miaka 15 anayetibiwa huko Bangladesh alipoteza miguu yote
miwili huku mwanamke mwingine kwenye hospitali hiyo hiyo akisema kuwa
alikanyaga kilipuzi baada ya kufyatuliwa risasi