September
13, 2017 Spika wa Bunge Job Ndugai ameagiza tena kamati ya haki,
maadili na madaraka ya Bunge kumhoji Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe
baada ya kuendelea kutoa maneno ya kulidhalilisha Bunge licha ya jana
Spika kuagiza kuhojiwa kwa kauli hizohizo.