Mbunge mmoja nchini Israel
amejiuzulu baada ya kukosolewa na vingozi wa dini kwa kuhudhuria ndoa
ya wapenzi wa jinsia ya mpwa wake.
Yigal Guetta alifichua wakati wa mahojiano ya radio siku ya Jumapili kuwa alihudhuria harusi hiyo miaka miwili iliyopita