.

Welcome to Our Blog

LightBlog

Tuesday, 12 September 2017

Biashara ya mende Tanzania

Je umewahi kufikiria kuwa mdudu mende anaweza kuwa mtaji wa kibiashara?
Ingawa jamii inawachukulia mende kama wadudu wachafu, Rwehura Daniel ni kijana wa kitanzania, ameweza kutumia ubunifu wake na kuanza kufuga na kuwauza mende, ambao wataalamu wa lishe wanasema kwamba wadudu hao wana kiwango kikubwa cha protein ambayo ni muhimu kwa binadamu na wanyama.