.

Welcome to Our Blog

LightBlog

Tuesday, 12 September 2017

BEN POL KAHOJIWA: Ni kuhusu kumuacha Ebitoke

Baada ya story kusambaa kuwa Ben Pol na Ebitoke wameachana na hiyo ni mara baada ya Ben Pol kudaiwa kulala na mchekeshaji huyo na kisha kumkimbia, sasa Ayo TV tukamtafuta Ben Pol kusikia kwa upande wake kuhusu madai hayo