Katika hali ya kustaajabisha yupo Mchungaji mmoja ambaye anajiita
Mfalume Zumaridi wa Kanisa la Redemption International Ministry lililopo
Nyegezi, Mwanza ameibuka na kusema yupo na Marehemu Stephen Kanumba na
huwa anawasiliana naye moja kwa moja na, ni mmoja kati ya waumi wake
kwenye hilo Kanisa