Kampuni ya Apple inaadhimisha miaka 10 tangu kuzinduliwa kwa simu zake
za kisasa aina ya iPhone na inatarajiwa kwamba watazindua simu nyingine
itakayokuwa na mabadiliko makubwa tangu kuzinduliwa kwa simu hizo.
1. 2004: Kuzaliwa kwa Project Purple
2. Julai 2008: App za kwanza za iOS App Store zatolewa
3. Septemba 2008: Kuzinduliwa kwa HTC Dream
4. Februari 2010: App ya Siri yazinduliwa na SRI
5. Juni 2010: iPhone ya kwanza ya selfie
6. Oktoba 2011: Kifo cha Steve Jobs
7. Aprili 2012: Facebook kununua Instagram kwa $1bn
8. Julai 2012: Apple yanunua AuthenTec
9. Agosti 2013: Steve Ballmer alipong'atuka Microsoft
10. Julai 2016: Kuzinduliwa kwa Pokemon Go