Mbunifu wa nembo ya taifa Mzee Francis Maige ,maarufu NGOSHA ambae alikuwa akipata matibabu katika hospitali ya taifa ya Muhimbili baada ya taarifa za matitizo yake kuibuliwa na ITV
amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika hospitali hiyo .
amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika hospitali hiyo .