Watafiti wanne wa masuala ya kibenki kutoka Dar es salaam wametekwa na wanakijiji wa kijiji cha Mihangwa Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma wakidaiwa kuwa wametumwa na wawekezaji kuja kutafiti ardhi ya wanakijiji na kuipora kiulaghai Bonyeza Hapa Kupata Habari Zaidi