.

Welcome to Our Blog

LightBlog

Monday, 11 September 2017

NEW LIFE MUSIC STUDIO KUTOA PUNGUZO LA BEI YA KAZI.

Producer Msaidizi wa New Life Music ya Bunju kwaniaba ya Producer Mkuu Isma on De beat  ametoa taarifa ya punguzo la bei ya ngoma(nyimbo) ambapo ni l00,000/= tu na kutoa utaratibu mpya wa studio ambao upo studio humo.Fika bila kukosa utengenezewe nyimbo kali na hit song chini ya maproducer wenye touch za kisasa za kila aina..Studio ipo eneo la Bunju Usalama Dar es salaam Mita 2 kutoka barabarani....