HALI YA LISSU YAANZA KUWA NZURI.KAONGEA KWA MARA YA KWANZA NA MH.MBOWE TANGU ATOLEWE DODOMA .GHARAMA ZA MATIBABU YA LISSU PIA ZINATEGEMEA MICHANGO YA WATANZANIA .DEREVA WA MH.LISSU BADO YUPO KATIKA MSONGO WA MAWAZO NAE AJUMUISHWA KWA MATIBABU NAIROBI NA USALAMA WAKE.JJINA HALISI LA DEREVA HUYO NI SAIMON MUHAMMEDI BAKARI.