Rais wa Marekani Donald Trump
amekutana na wanasiasa wawili waandamizi kutoka chama cha Demokrat
katika bunge la Congress kujadili maswala tata, huku pande zote mbili
zikisema mazungumzo hayo wakati wa chakula cha jioni ikulu ya white
house yalikuwa yenye manufaa.