.

Welcome to Our Blog

LightBlog

Tuesday, 12 September 2017

Ufafanuzi askari aliyeonekana aliko lazwa Tundu Lissu



Askari anliyekuwa akiranda randa katika hospitali aliyolazwa mh lissu na nguo za kiraia.Kamishina wa polisi wa jeshi hilo Barnabas Kalukwa atoa maelezo juu ya askari huyo...



Taarifa hizo zinazosambwazwaq na Mbunge wa Kawe Mh .Halima Mdee sio za kweli.Askari Joseph alikuwa kwenye mafunzo ya  Interpol ON Control Derivery..Tazama vidoeo kujua zaidi